Mfumo wa Kitaifa wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao katika mbio za Mwenge Kitaifa

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa, Luteni Josephine Mwambashi kutoka Jeshi la Wanachi Tanzania akipata maelezo kutoka Taasisi ya mafunzo ya Afya Ifakara iliyoandaa Mfumo wa Kitaifa wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (National eLearning Platform for Health). Mfumo wa Kitaifa wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao ni mfumo uliotekelezwa na Taasisi ya mafunzo ya […]
Read more

Nafasi za Kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2021/2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) anawatangazia umma nafasi za kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2021/2022 TTCIH ni Taasisi ya mafunzo ya Afya Ifakara iliyosajiliwa na NACTE kwa namba HAS/003. Chuo kipo Ifakara mjini, Mkoani Morogoro. Chuo Kinatoa Kozi Zifuatazo Stashahada ya utabibu (Diploma in Clinical Medicine) […]
Read more

Happy Karume Day

TTCIH inawatakia Watanzania wote Kheri ya Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Abeid Amani Karume (Karume Day 4/08/1905 – 7/04/1972) Raisi wa kwanza wa Zanzibar 07/04/2021
Read more

Hongera Mh. Samia Suluhu Hassan

Hongera Mh. Samia Suluhu Hassan kwa Kuchaguliwa kuwa Raisi wa Awamu ya Sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunakutakia kila la kheri katika kuliongoza Taifa la Tanzania.            
Read more

Tanzia

Buriani  Dkt. John Pombe Magufuli Raisi wa awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania              
Read more

Job Vacancy : Executive Director

The Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) is a Health Training Institution established in 2006 under a public-private partnership agreement between the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MoHCDGEC), Novartis Foundation (NF), now, Global Health Development Unit, Novartis and the Swiss Tropical and Public Health Institute (Swiss TPH). TTCIH aims at […]
Read more