MAHAFALI YA 16 ya Chuo cha Mafunzo ya Afya Ifakara
MAHAFALI YA 16 ya Chuo cha Mafunzo ya Afya Ifakara – Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH), 14th December,2022 mahafali yalifanyika kwenye viwanja vya Chuo Mlabani – Ifakara. “Tunawapongeza sana wahitimu wote tunazidi kuwasisitiza muende mkaisaidie jamii ya Watanzania katika kuboresha afya za watanzania ikiwa ni kufanya kazi kwa weledi pamoja na kutoa huduma […]