Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health

(TTCIH) anawatangazia umma nafasi za kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2021/2022

TTCIH ni Taasisi ya mafunzo ya Afya Ifakara iliyosajiliwa na NACTE kwa namba HAS/003.

Chuo kipo Ifakara mjini, Mkoani Morogoro.

Chuo Kinatoa Kozi Zifuatazo

  1. Stashahada ya utabibu (Diploma in Clinical Medicine) – miaka mitatu
  2. Stashahada ya utabibu ya mwaka mmoja (yaani upgrading from Clinical Assistant to Clinical Officer).

Sifa za Mwombaji kwa Kozi Stashahada  ya Utabibu ya Miaka Mitatu Awe:

  • Amehitimu kidato cha nne kwa ufualu wa angalau D ya Biology, Chemistry na Physics

Maombi yote ya kujiunga na chuo yameanza kupokelewa sasa

Kwa Msaada na Maelekezo Zaidi Piga Simu Namba 0710 527 003

Chuo kina mazingira tulivu na mazuri kwa kujifunza ikiwa pamoja wakufunzi wabobezi katika masomo yote, Hospitali ya kujifunzia, maktaba bora na masomo kwa njia ya kielektroniki yaani eLearning

Maombi yote ya kujiunga na chuo yameanza kupokelewa sasa, mafunzo ya kozi zote yataanza rasmi mwezi wa tisaFomu ya maombi ya kujiunga inapatikana hapa  

03 Oct, 2021  APPLICATION CLOSED.!! 

KARIBU TTCIH IFAKARA KWA MAFUNZO YENYE KUJENGEA WAHITIMU UWEZO KUTOA TIBA KWA KUTUMIA TAFITI YAANI  EVIDENCE BASED MEDICINE

Previous Post
Newer Post