MAHAFALI YA 16 ya Chuo cha Mafunzo ya Afya Ifakara – Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH), 14th December,2022 mahafali yalifanyika kwenye viwanja vya Chuo Mlabani – Ifakara.
“Tunawapongeza sana wahitimu wote tunazidi kuwasisitiza muende mkaisaidie jamii ya Watanzania katika kuboresha afya za watanzania ikiwa ni kufanya kazi kwa weledi pamoja na kutoa huduma kwa kutumia tafiti yaani “EVIDENCE BASED MEDICINE”