Run for NO Cancer

Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) tulipata fursa ya kushiriki katika tukio la mbio zilizoandaliwa na Good Samaritan Cancer Hospital (GSCH) ambazo zilikuwa za makundi matatu ( KM 5, KM 10 KM 15). Mbio hizi zilianzia katika hospitali ya GSCH hadi daraja la Magufuli (Magufuli Bridge) zilikuwa na kauli mbiu ya “Run for NO […]
Read more

Mfumo wa Kitaifa wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao katika mbio za Mwenge Kitaifa

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa, Luteni Josephine Mwambashi kutoka Jeshi la Wanachi Tanzania akipata maelezo kutoka Taasisi ya mafunzo ya Afya Ifakara iliyoandaa Mfumo wa Kitaifa wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (National eLearning Platform for Health). Mfumo wa Kitaifa wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao ni mfumo uliotekelezwa na Taasisi ya mafunzo ya […]
Read more

Nafasi za Kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2021/2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) anawatangazia umma nafasi za kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2021/2022 TTCIH ni Taasisi ya mafunzo ya Afya Ifakara iliyosajiliwa na NACTE kwa namba HAS/003. Chuo kipo Ifakara mjini, Mkoani Morogoro. Chuo Kinatoa Kozi Zifuatazo Stashahada ya utabibu (Diploma in Clinical Medicine) […]
Read more

Happy Karume Day

TTCIH inawatakia Watanzania wote Kheri ya Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Abeid Amani Karume (Karume Day 4/08/1905 – 7/04/1972) Raisi wa kwanza wa Zanzibar 07/04/2021
Read more