Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) tulipata fursa ya kushiriki katika tukio la mbio zilizoandaliwa na Good Samaritan Cancer Hospital (GSCH) ambazo zilikuwa za makundi matatu ( KM 5, KM 10 KM 15).

Mbio hizi zilianzia katika hospitali ya GSCH hadi daraja la Magufuli (Magufuli Bridge) zilikuwa na kauli mbiu ya “Run for NO Cancer” ambayo ilikuwa na lengo mahsusi kwa ajili ya kuhamasisha jamii kupima cancer pamoja na homa ya ini ili kuweza kuanza kutibu cancer mapema kabla haijafika katika hatua ambazo ni hatarishi pamoja na kuwezesha (kuchangia) huduma ya kupima cancer kuwafikia wengi zaidi

Previous Post
Newer Post