Taasisi ya Mafunzo ya Afya TTCIH – IFakara inapenda kutoa taarifa kwa umma kwamba matokeo ya uchaguzi dirisha la awamu ya tatu kwa waombaji wa programu ya Utabibu (Yaani Diploma in Clinical Medicine) mkupuo wa Septemba 2022/2023 yametoka rasmi leo tarehe 05 October, 2022. Waombaji wote waliochaguliwa wanaweza kupakua maelekezo ya kujiunga na Chuo (Joining Instructions) kwenye kiunganishi hapa chini kwa ajili ya kupata taarifa zaidi.

 

Previous Post
Newer Post

This will close in 10 seconds

error: CONTENT IS PROTECTED !!